Natalie Imbruglia

Natalie Jane Imbruglia (amezaliwa tar. 4 Februari 1975) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia na ni mwanamuziki-mtunzi wa pop, mwanamitindo kutoka nchini Australia.

Natalie Imbruglia akitumbuiza mjini Amsterdam.

Vingop vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Natalie Imbruglia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.