Ndoo ni chombo cha plastiki au bati chenye uwazi upande wa juu.

Ndoo ya bati.

Ndoo hutumika kwenye shughuli za nyumbani kama vile kuhifadhia na kusogezea maji, kuwekea takataka na kadhalika.