Nelson Ojeda
Nelson Ojeda ni askofu wa Anglikana kutoka Chile.[1]
Alitawazwa kuwa Askofu Msaidizi wa Chile mwaka 2016 na aliendelea kushikilia wadhifa huo hata baada ya dayosisi hiyo kuwa jimbo huru la kiaskofu mnamo mwaka 2018.[2]
Marejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |