Nevşehir
Nevşehir (zamani waliuita Muşkara au Nyssa) ni mji mkuu wa Jimbo la Nevşehir nchini Uturuki. Mji huu upo katika Mkoa wa Anatolia ya Kati katika Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi takriban 105,078 ambao wengine 67,864 wanaishi katikati ya mji wa Nevşehir.[1][2] Mji unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 535,[3] na mji uko m 1224 juu ya usawa wa bahari.
Nevşehir | |
Nchi | Uturuki |
---|---|
Mkoa | Anatolia ya Kati |
Jimbo | Nevşehir |
Idadi ya wakazi (2000) | |
- Wakazi kwa ujumla | 105,078 |
Tovuti: www.nevsehir.gov.tr |
Maelezo
hariri- ↑ Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units" (kwa English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Statoids. "Statistical information on districts of Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Marejeo
hariri- Falling Rain Genomics, Inc. "Geographical information on Nevşehir, Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Kenthaber.com. "General information on Nevşehir, Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-28. Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Nevşehir governor's official website (Kituruki)
- Nevşehir municipality's official website (Kituruki)
- Administrative map of Nevşehir district Archived 5 Machi 2009 at the Wayback Machine. (Kituruki)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nevşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |