Nevado Sajama ni mlima wa Andes katika nchi ya Bolivia (Amerika Kusini).

Mlima Nevado Sajama

Urefu wake ni mita 6,542 juu ya usawa wa bahari, hivyo unazidi milima yote ya nchi hiyo.

Tazama pia hariri