New York Knicks

Timu ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani katika Jiji la New York

New York Knicks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini New York City. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na R.J Barrett.

New York Knicks

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu New York Knicks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.