Ngekewa
Ngekewa wa kawaida (Hydrochoerus hydrochaeris)
Ngekewa wa kawaida (Hydrochoerus hydrochaeris)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Rodentia (Wanyama wagugunaji)
Nusuoda: Hystricomorpha (Wanyama kama nungunungu)
Familia: Caviidae (Wanyama walio na mnasaba na nungubandia)
Nusufamilia: Hydrochoerinae (Wanyama wanaofanana na ngekewa)
Jenasi: Hydrochoerus (Ngekewa)
Brisson, 1762
Ngazi za chini

Spishi 2:

Ngekewa au kapibara (kutoka Kiing: capybara, jina la kisayansi: Hydrochoerus hydrochaeris, kutoka Kiyunani: ὑδροχοιρος) ni mgugunaji mkubwa wa Amerika ya Kusini.

Spishi hariri

Picha hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngekewa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.