Ngeli (biolojia)
Ngeli ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi. Kila ngeli imegawanyika katika makundi.
Kuna ngeli nyingi katika kila faila. Kwa mfano mamalia ni moja ya makundi ya ngeli ya viumbe wenye uti wa mgongo, na kundi hilo limegawanyika katika makundi kama Monotremes, Marsupials na Eutheria.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ngeli (biolojia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |