Niger (maana)
Niger ni neno linaloweza kumaanisha:
- Niger nchi ya Afrika ya Magharibi
- Niger (mto) ni mto mkuwa wa Afrika ya magharibi
- Niger (Nigeria) ni dola mojawapo wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria
- Niger (meli) ilikuwa jina la meli za kivita za Uingereza
- "niger" ni neno la lugha ya Kilatini linalomaanisha "nyeusi"