Nikolasi Saggio wa Longobardi

(Elekezwa kutoka Nikola wa Longobardi)
Riproduzione quadro di San Nicola Saggio da Longobardi esposto a Campora San Giovanni.JPG

Nikolasi Saggio wa Longobardi (kwa Kiitalia Nicola (Giovanni Battista Clemente) Saggio da Longobardi; 6 Januari, 16503 Februari, 1709) alikuwa mtawa wa shirika la Waminimi nchini Italia.

Alitambuliwa na Kanisa Katoliki (papa Pius VI tarehe 17 Septemba 1786) kuwa mwenye heri, akatangazwa na Papa Fransisko kuwa mtakatifu tarehe 23 Novemba 2014.

MaishaEdit

Nikolasi anasemekana alizaliwa kwa muujiza katika kijiji cha Longobardi, mkoa wa Calabria, Italia, mwaka 1650.

Nikolasi alikufa mwaka 1709 huko Roma.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikolasi Saggio wa Longobardi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.