Ninko (16 Machi 180021 Februari 1846) alikuwa mfalme mkuu wa 120 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ayahito. Mwaka wa 1817 alimfuata baba yake, Kokaku, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Komei.

Mchoro wa Ninkō

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ninko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.