Nisha Kalema
mwigizaji wa uganda
Nisha Kalema (alizaliwa 1993) ni mwigizaji, mzalishaji na mwandishi kutoka nchini Uganda.[1]. Alijishindia mataji matatu kwenye sherehe za tuzo za filamu za Uganda kwa kazi zake kama Grace kwenye The Tailor mwaka 2015, Amelia kwenye Freedom mwaka 2016 na Veronica kwenye Veronica's Wish mwaka 2018 .[2]
Marejeo
hariri- ↑ {{cite web |title=TheFlick: Nisha Kalema and Her Acting Career |url=http://uganda.watsupafrica.com/news/theflick-nisha-kalema-and-her-acting-career/ Ilihifadhiwa 24 Oktoba 2020 kwenye Wayback Machine. |website=Uganda: Watsup Africa |accessdate=24 March Kigezo:2019
- ↑ {{cite web |title=Nisha Kalema (L) poses with her second UFF Best Actress award in a row |url=http://eagle.co.ug/2016/08/29/freedom-sweeps-the-board-at-uganda-film-awards.html/nisha-kalema-l-poses-with-her-second-uff-best-actress-award-in-a-row |website=Eagle |accessdate=24 March Kigezo:2019