Nizhniy Novgorod (Kirusi: Нижний Новгород) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 1,311,252. Iko katika mkoa wa Nizhniy Novgorod Oblast.

Nizhniy Novgorod

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nizhniy Novgorod kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.