Njalu Daudi Silanga

(Elekezwa kutoka Njalu Silanga)

Njalu Daudi Silanga (amezaliwa tar. 3 Mei 1978) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Itilima kwa mwaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017