Nof HaGalil ni mji wa Israeli, karibu kabisa na Nazareti.

Idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 41,734 (2019)[1], wengi wakiwa Wayahudi.

Marejeo

hariri
  1. "Population in the Localities 2019" (XLS). Israel Central Bureau of Statistics. Retrieved 16 August 2020.