Nokia 1100
Nokia 1100 ni simu madhubuti iliyotengenezwa na Nokia. Imelengewa nchi ambazo bado zinaendelea na watumizi ambao hawahitaji vifaa vingi kwenye simu zao ila ya uwezo wa kupiga simu, kutuma ujumbe mfupi, saa, n.k.
Simu ya 1100 inafanana na Nokia 3210/Nokia 3310 ambazo zilikuwa simu maarufu katika miaka iliyopita kabla ya uzinduzi mpya wa vifaa vya simu kama kamera.
Zaidi ya nakala milioni 200 za simu hii zimeuzwa tangu ilipoanzishwa mnamo 2003, na kuifanya iwe simu iliyopata mauzo mazuri zaidi kote duniani.[1] Hata hivyo, ilishinda mauzo ya Playstation 2 iliyouza nakala milioni 138 na simu ya Motorola RAZR iliyouza nakala milioni 120.).[2]
Yaliyomo
haririToleo zingine
haririKuna simu tano zinazofanana: 1100a, 1100b, 100i, 1101 na 1108.
Viungo vya nje
hariri- Nokia 1100 on Nokia's website Archived 27 Septemba 2005 at the Wayback Machine.
- Nokia 1101 on Nokia's website Archived 23 Februari 2007 at the Wayback Machine.
- Download Nokia 1100 user manual Archived 15 Desemba 2005 at the Wayback Machine.
Marejeo
hariri- ↑ "Nokia's cheap phone tops electronics chart -Reuters UK". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-29.
- ↑ Nokia's 1100 handset: over 200 million served - Engadget
- ↑ http://www.mobile-review.com/review/nokia-1100-en.shtml#Xpress-On Covers
- ↑ http://www.nokia.com.au/nokia/0,,54089,00.html#Messaging Archived 10 Machi 2007 at the Wayback Machine. Retrieved on 8 Agosti 2007.