Normandy (kwa Kifaransa: Normandie) ni eneo la kihistoria ambalo siku hizi limegawiwa katika mikoa miwili ya Ufaransa kaskazini: Haute-Normandie na Basse-Normandie.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Normandy kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.