Ntobeko Boyce

Spika wa Bunge la KwaZulu-Natal


Nothemba "Ntobeko Boyce ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye amekuwa mbunge wa Bunge la KwaZulu-Natal Nontembekotokea Mei 22 2019. Ni mjumbe wa Africa National Congress (ANC) na alijiunga na Bunge Mei 2014.

Ntobeko Boyce
Nchi Afrika kusini
Kazi yake Mwanasiasa

Pia alishawai kutumika kama mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge (Legislature's standing committee).

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ntobeko Boyce kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.