Nura Abdullahi (alizaliwa 17 Agosti 1997) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa timu ya taifa ya Nigeria.

Nura Abdullahi

Ushiriki Katika Klabu

hariri

Abdullahi alicheza mechi yake ya kwanza ligi ya Serie B akiwa na klabu ya Perugia tarehe 3 Februari 2018 katika mchezo dhidi ya klabu ya Cittadella.[1] Abdullahi Alistaafu Aprili 2019 kwa misingi ya matibabu. [2]

Marejeo

hariri
  1. "Game Report by Soccerway". Soccerway. 3 Februari 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Nura Abdullahi: AS Roma's Nigerian forced to retire aged 21". BBC Sport. 30 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nura Abdullahi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.