Nyaniso Dzedze
Mwigizaji na mwimbaji wa Afrika Kusini
Nyaniso Ntsikelelo Dzedze ni msanii wa maonyesho kutoka Afrika Kusini.[1] Alizaliwa 1986 na kukulia Johannesburg. Ni mwigizaji, densi, mwimbaji na anajulikana sana kwa majukumu yake ya kuongoza kama Simba katika albamu ya Beyonce Black Is King.[2]
Nyaniso Dzedze | |
---|---|
Amezaliwa | Nyaniso Dzedze 1986 Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwigizaji,mwimbaji na densi |
Ndoa | Mke wake Yana Fay Dzedze |
Mchezo wake wa kwanza wa luninga wa Afrika Kusini ulikuwa Ashes to Ashes ambapo aliigiza kama Tsietsi Namane kwenye e.tv telenovela.[3][4][5][6]
Anajulikana pia kuigiza muhusika mkuu Muzi kwenye filamu ya Hear Me Move-Filamu ya muziki ya kwanza ya Kiafrika Kusini.[7]
Alipokea uteuzi wa mwigizaji anayevutia zaidi katika tuzo za 12 za filamu za Afrika kutoka Rivers State.
Mke wake Yana Fay Dzedze ni Mjerumani.[8]
Filamu
haririRuninga na Filamu
hariri- Ashes to Ashes (South African TV series)|Ashes to Ashes
- Generations: The Legacy|Generations
- Hear Me Move
- Black Is King
- Binnelanders
- Rhythm City (TV series)|Rhythm City
Marejeo
hariri- ↑ "Breathing life into his character | IOL". IOL. Iliwekwa mnamo 2016-01-27.
- ↑ Black Is King, iliwekwa mnamo 2020-08-04
- ↑ "Nyaniso Dzedze | TVSA". www.tvsa.co.za. Iliwekwa mnamo 2016-01-27.
- ↑ "Ashes To Ashes | e.tv". www.etv.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-05. Iliwekwa mnamo 2016-01-27.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Hear Me Move premiere sets social media in motion". DRUM. Iliwekwa mnamo 2016-01-27.
- ↑ Loewenstein, Michelle. "Nyaniso Ntsikelelo Dzedze likes to move it". The Citizen. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-14. Iliwekwa mnamo 2016-01-27.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ Hear Me Move, iliwekwa mnamo 2020-07-31
- ↑ "South Africa: Minister Nathi Mthethwa Congratulates Youth Involved With "Hear Me Move" Film". allafrica.com. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyaniso Dzedze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |