Nyati Cement ni rajamu ya saruji inayotolewa tangu mwaka 2014 na kampuni ya Lake Cement Ltd.[1] Inatengenezwa katika kiwanda cha Lake Cement huko Kigamboni, Dar es Salaam nchini Tanzania.

Marejeo hariri

  1. Tovuti rasmi ya Lake Cement, iliangaliwa Aprili 2023