Nyumba Ntobhu

Utamaduni wa kitanzania

Nyumba Ntobhu (maana yake "nyumba bila mwanamume") ni aina ya muungano wa jadi usio wa mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa wanawake wa Kikuria wa Mkoa wa Mara nchini Tanzania; ushirikiano huundwa kati ya wanawake wakubwa, kwa kawaida wajane wasio na vizazi vya kiume, na wanawake wadogo wasio na watoto, wanaojulikana kama mokamööna (mabinti wakwe).[1][2]

Nyumbani Ntobhu
Amezaliwa
Mara
Nchi Tanzania

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-15. Iliwekwa mnamo 2022-04-09.
  2. http://www.independent.co.uk/news/world/africa/straight-women-kurya-tanzania-africa-married-property-domestic-violence-fgm-a7162066.html
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyumba Ntobhu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.