Oaxaca, Oaxaca
Oaxaca (jina rasmi: Oaxaca de Juárez) ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Oaxaca. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 258,008 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 258 km².
Jiji la Oaxaca | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Oaxaca |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 258,008 |
Tovuti: www.municipiodeoaxaca.gob.mx |
Mji ulianishwa na Wahispania mwaka 1522.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oaxaca, Oaxaca kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |