1 Oktoba
tarehe
(Elekezwa kutoka Oktoba 1)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Oktoba ni siku ya 274 ya mwaka (ya 275 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 91.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 208 - Alexander Severus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1207 - Henry III, Mfalme wa Uingereza
- 1685 - Kaisari Karoli VI wa Ujerumani
- 1924 - Jimmy Carter, Rais wa Marekani (1977-1981)
- 1947 - Aaron Ciechanover, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 1969 - Marcus Stephen, Rais wa Nauru (2007-2011)
- 1971 - Song Il-gook, mwigizaji filamu kutoka Korea Kusini
Waliofariki
hariri- 1404 - Papa Boniface IX
- 1985 - Elwyn Brooks White, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teresa wa Mtoto Yesu, Piato, Verisimo, Masima na Julia, Romano Mshairi, Niseti wa Trier, Bavo, Wasnulfi, Jeradi Edwards n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |