Olive Mudekereza Namegabe
Olive Mudekereza Namegabe (alizaliwa Finzi, wilaya ya Walungu, Oktoba 18, 1958) ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambaye amekuwa mbunge tangu Januari 28, 2019.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Olive Mudekereza Namegabe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |