Olivia Cattan
Olivia Cattan (alizaliwa 1967) ni mwandishi wa habari na mwandishi wa vitabu. Pia ni mtetezi wa haki na kampeni mbalimbali. Cattan ni rais wa "SOS autisme France" na rais mstaafu wa shirika la kutetea haki za wanawake, Paroles de femmes ("Maneno ya Wanawake"), ambalo alilianzisha mwenyewe. .[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Olivia Cattan, Journaliste, écrivaine". Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Olivia Cattan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |