Olympique Batna ni klabu ya mpira wa kikapu katika mji wa Batna nchini Algeria. Ilianzishwa mnamo mwaka 1972 pia ilishiriki katika michuano ya kitaifa ya mpira wa kikapu ya Algeria.[1][2]

Historia hariri

Mnamo mwaka 1972 timu ilianzishwa na Brahim Yezza, Khomri Miloud na Kaouli Chérif.

Wachezaji hariri

Mamadou Faye[3]

Marejeo hariri

  1. [https://www.lesoirdalgerie.com/articles/2007/08/20/print-5-57587.php "Le Soir d'Alg�rie"]. www.lesoirdalgerie.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-24. 
  2. Eurobasket. "Olympi Batna basketball, News, Roster, Rumors, Stats, Awards, Transactions, Details-afrobasket". Eurobasket LLC. Iliwekwa mnamo 2022-08-24. 
  3. Basket221 (2020-10-06). "Mamadou Faye dans les rangs de l’AS Douane !". Basket 221 (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2022-08-24.