Abdallah Kigoda

(Elekezwa kutoka Omar Abdallah Kigoda)

Abdallah Omar Kigoda (amezaliwa 25 Novemba 1953 – 12 October 2015) alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania la 2005-2010 akiwakilisha jimbo la uchaguzi la Handeni.[1]

Kigoda

Viungo vya nje hariri

  1. https://peoplepill.com/people/abdallah-kigoda/