Omari Sheha Mussa

(Elekezwa kutoka Omar Sheha Mussa)

Omari Sheha Mussa (amezaliwa tar. 5 Januari 1955) ni mbunge wa jimbo la Chumbuni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Omari Sheha Mussa (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.