Mzeru Omari Nibuka
(Elekezwa kutoka Omari Mzeru Nibuka)
Mzeru Omari Nibuka (amezaliwa tar. 10 Mei 1954) ni mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ "Mengi kuhusu Mzeru Omari Nibuka". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |