Onyeka Onwenu
Onyeka Onwenu (31 Januari 1952 - 30 Julai 2024[1]) alikuwa mwimbaji, mwandishi wa muziki, pia mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu na wa masuala ya kijamii, mwandishi wa habari, mwanasiasa na jaji nchini Nigeria[2]. Alikuwa mwenyekiti wa baraza la sanaa na utamaduni katika jimbo la Imo.[3][4]
Mwaka 2013 aliteuliwa kuwa mkurugenzi mtendaji wa baraza la National Centre for Women Development. [5]
Maisha ya awali
haririOnwenu alikulia katika mji mdogo unaoitwa Arondizuogu, Ideato North, Imo State, na alilelewa Port Harcourt. Ni mtoto mdogo kabisa wa kike wa mwanasiasa na mwanaharakati wa masuala ya elimu D.K. Onwenu ambaye alifariki alipokuwa na umri wa miaka minne tu,alifariki kutokana na ajali ya gari jumaa moja baada ya kuteuliwa kama waziri wa elimu,[6][7][8] amemuacha mama mjane mwenye matumaini ya kuwalea watoto watano mwenyewe baada ya familia ya marehemu kukataa mjane huyo kurithi mali za marehemu [9]
Marejeo
hariri- ↑ Makams, Ahman (20 Oktoba 2012). "Onyenka Onwenu: Queen Of African Pop Music". Leadership. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-25. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2012.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Onyeka Onwenu, Toolz, MI excited about Glo X factor". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2014.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Charles O'tudor Fetes Onyeka Onwenu". AllAfrica Global Media. Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2010.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Nwangwu, Onyinyechi. "NCAC Honours Onwenu, Samanja, Others". AllAfrica Global Media. Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2010.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Onwenu bags FG appointment". The Nation Newspapers. 21 Septemba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-31. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Amadi, Ogbonna (2 Machi 2012). "Onyeka speaks at 60". Vanguardngr.com. Vanguard Media. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2014.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Am I married to the father of my kids? No comment ––––Onyeka Onw". Ghanaian Agenda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Adetayo, Ayoola. "Onyeka Onwenu: 10 things about the legendary musician you need to know" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-24. Iliwekwa mnamo 2018-05-23.
{{cite news}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ Plight of Widows
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Onyeka Onwenu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |