Orjen ni safu ya milima ya Balkani (Ulaya), katika nchi ya Montenegro.

Milima ya Orjen

Urefu wake ni mita 1,894 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Orjen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.