Orodha ya michezo ya mankala

Hii ni orodha ya michezo ya mankala.

Michezo inayopendwa zaidi hariri

 
Bao ya kucheza Bao/Omweso kutoka Ulaya

Michezo inayochezwa sana ni:

  • Bao ni mchezo kutoka Kenya na Zanzibar, unachezwa na shimo 4×8.
  • Kalah inachezwa na watoto sana Amerika.
  • Oware, ni mchezo wa Ghana, inajulikana pia na jina la Warri,[1] Ayo (jina la Yoruba kutoka Nigeria), Awele, Awari, Ouril, na jina nyingine. Mchezo una shimo 2×6.
  • Omweso (inaitwa pia coro) na mchezo kutoka Uganda, inachezwa na shimo 4×8.
  • Pallanguzhi inachezwa Tamil nadu, India kaskazini na shimo 2×7. Aina mbili za mchezo hii ni, Kaashi na Bank.

Michezo mingine ya Mankala hariri

  • Bohnenspiel ni mchezo kutoka Ujerumani ambao unafanana na mchezo kutoka Persia. Mchezo una shimo 2×6.
  • Eson xorgol, unachezwa wa watu wa Kazakh kwa Mongolia magharibi. Mchezo una shimo 2×5.
  • ǁHus ni mcheso kutoka Namibia. Mchezo una shimo 4×8.

Michezo ya Kienyeji hariri

 
Wachezaji wa Omweso (au Igisoro) Kigali, Rwanda
 
Wanawake wakicheza Awele, Africa magharibi
 
Watoto kutoka Vietnam wakicheza ô ăn quan

Tanbihi hariri

  1. Henry R. Muller, Warri: A West African Game of Skill, The Journal of American Folklore. Vol. 43, No. 169. pp. 313-316.
  2. Stewart Culin, Philippine Games, American Anthropologist, Vol. 2, No. 4. (Oct-Dec 1900), pp. 643-656.
  3. Alan P. Merriam, The Game of Kubuguza Among the Abatutsi of North-East Ruanda. Man, Vol. 53. (November 1953), pp. 169-172.
  4. H. A. Stayt, The Bavenda.
  5. P. H. G. Powell-Cotton, H. J. Braunholtz, A Mancala Board Called "Songo.", Man. Vol. 31. (July 1931), pp. 123.

Marejeo hariri