Orodha ya milima ya Afrika
Hii orodha ya milima ya Afrika inataja baadhi tu, hasa ile mirefu zaidi katika bara hilo.
- Milima Aberdare (m 3,999), Kenya
- Milima Ahaggar (m 2,918), Algeria
- Milima Ahmar (m 2,965), Ethiopia
- Milima Air (Azbine) (m 2,022) Niger
- Milima Amaro (m 3,240), Ethiopia
- Milima Atlantika (m 1,300), Nigeria - Kamerun
- Milima Atlas (m 4,167), Moroko - Algeria - Tunisia
- Milima Auas (m 2,484), Namibia
- Mlima Baker (m 4,844), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Uganda
- Milima Bakossi (m 2,064), Kamerun
- Milima Bale (m 4,377), Ethiopia
- Milima Bvumba (m 1,911), Zimbabwe - Msumbiji
- Milima Cal Madow (m 2,410), Somalia
- Milima Cederberg (m 2,026), Afrika ya Kusini
- Chappal Waddi (m 2,419), Nigeria
- Compassberg (m 2,504), Afrika ya Kusini
- Drakensberg (m 3,482), Lesotho - Afrika ya Kusini
- Mlima Elgon (m 4,321) - volikano, Kenya - Uganda
- Emi Koussi (m 3,415) - volikano, Chad
- Mlima Emin (m 4,798), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Uganda
- Milima Entoto (m 3,200), Ethiopia
- Milima Erta Ale (m 988) - volikano, Ethiopia
- Mlima Gessi (m 4,715), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Uganda
- Milima Golis (m 1,371), Somalia
- Mlima Kadam (Debasien au Tabasiat) (m 3,054), Uganda
- Mlima Kamerun (m 4,075), Kamerun
- Mlima Karisimbi (m 4,507) - volikano, Rwanda - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- Mlima Karthala (m 2,362) - volikano, Komori
- Mlima Kenya (m 5,199) - volikano, Kenya
- Mlima Kilimanjaro (m 5,895) - volikano, Tanzania - mlima wa juu kabisa katika Afrika
- Mlima Kinyeti (m 3,187), mlima mrefu zaidi wa Sudan Kusini
- Milima ya Kipengere (m 2,400), Tanzania
- Milima Lebombo (m 776), Msumbiji
- Mlima Luigi di Savoia (m 4,627), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Uganda
- Milima Magaliesberg (m 1,852), Afrika ya Kusini
- Milima ya Mahale (m 2,462), Tanzania
- Milima Mandara (m 1,494), Nigeria - Kamerun
- Mlima Meru (m 4,566) - volikano, Tanzania
- Mlima wa Meza / Tafelberg (m 1,088), Cape Town, Afrika ya Kusini
- Mlima Moco (m 2,610), Angola
- Mlima Moroto (m 3,083), Uganda
- Mlima Morungole (m 2,750), Uganda
- Mlima Mulanje (m 3,002), Malawi
- Nyanda za Juu za Mashariki (m ), Zimbabwe - Msumbiji
- Milima Ogo (m ), Somalia
- Milima Outeniqua (m 1,578), Afrika ya Kusini
- Pico de São Tomé (m 2,024) - volikano, Sao Tome na Principe
- Piton de la Fournaise - volikano (m 2,632), Réunion
- Piton des Neiges – volikano (m 3,069), Réunion
- Ras Dejen (m 4,533), Ethiopia
- Mlima Rungwe (m 3,175), Zambia
- Ruwenzori (m 5,109), Uganda
- Milima Semien (m 4,550), Ethiopia
- Mlima Serbal (m 2,070), Misri
- Mlima Sinai (m 2,285), Misri
- Mlima Speke (m 4,890), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Uganda
- Mlima Stanley (m 5,119), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo - Uganda
- Milima Swartberg (m 2,325), Afrika ya Kusini
- Tao la Mashariki (m ), Tanzania - Kenya
- Milima Teffedest (m 2,370), Algeria
- Teide (m 3,717) Tenerife - mlima wa juu kabisa wa Hispania (ingawa kijiografia katika visiwa vya Afrika)
- Milima Tibesti (m 3,445), Chad - Libya
- Jbel Toubkal (m 4,167), Moroko
- Milima ya Udzungwa (m 2,579), Tanzania
- Milima ya Uluguru (m 2,630), Tanzania
- Milima ya Upare (m 2,643), Tanzania
- Milima ya Usambara (m ), Tanzania
- Mlima Zulia (m 2,149), Uganda