Orodha ya milima ya Urusi

Maandishi madogo

Hii ni orodha ya milima ya Urusi yenye kimo cha zaidi ya mita 5,000.

# Milima Kirusi Urefu (m) Safu ya milima Maeneo ya Urusi
1 Elbrus Эльбрус 5.642 Kaukazi Kabardino-Balkaria na Karachaevo-Cherkesia
2 Dykh-Tau Дыхтау 5.204 Kaukazi Kabardino-Balkaria
3 Koshtantau Коштантау 5.152 Kaukazi Kabardino-Balkaria
4 Pik Pushkina Пик Пушкина 5.100 Kaukazi Kabardino-Balkaria
5 Jangitau Джангитау 5.085 Kaukazi Kabardino-Balkaria
6 Shkhara Шхара 5.068 Kaukazi Kabardino-Balkaria (Urusi) na Svanetia (Georgia)
7 Kazbek Казбек 5.034 Kaukazi Kaskazi Ossetia-Alania na Georgia
8 Mijirgi Мижирги 5.025 Kaukazi Kabardino-Balkaria