Orodha ya mito ya wilaya ya Mubende
Orodha ya mito ya wilaya ya Mubende inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya eneo hilo la Mkoa wa Kati nchini Uganda kabla ya kumegwa ili kuunda wilaya mpya ya Kasanda.
- Mto Bimbye
- Mto Bwala
- Mto Kabale
- Mto Kabalu
- Mto Kabolokota
- Mto Kachungiro
- Mto Kageye
- Mto Kakumiro
- Mto Kamalenge
- Mto Kamamba
- Mto Kankwale
- Mto Kasazi
- Mto Katabagole
- Mto Katabalanga
- Mto Katabatimba
- Mto Katugo
- Mto Kiye
- Mto Lusaba
- Mto Lwamagembe
- Mto Mugaja
- Mto Muzinda
- Mto Nabakazi
- Mto Nabisisi
- Mto Namwasa
- Mto Tyabira
- Mto Wabirombe
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya mito ya wilaya ya Mubende kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |