Oscar Mbongeni Ndlovu, ni mtayarishaji wa rekodi wa Afrika Kusini, podcaster na DJ. Anatunga muziki wa nyumbani unaojumuisha vipengele vya deep house, deep tech, Nu Jazz, broken beat na Lounge music. [1]

Anajulikana sana kwa uhusika wake wa kuanzisha na kuigiza katika podikasti ya burudani, The Ashmed Hour show.[2]

Maisha ya awali hariri

Oscar Mbo alizaliwa Pretoria na kulia Kriel,Mpumalanga magharibi mwa Witbank ambapo ndipo alitumia muda wake mwingi wa utotoni.[1]


Kazi hariri

Mnamo Septemba 2019, alitoa EP yake ya kwanza, Life & Love na baadaye Novemba akazindua albamu yake ya kwanza, Golden Power. Na ni mwanachama wa kikundi cha watatu cha Golden Boys Entertainment.[3]


Pia ameshirikishwa kwenye Kaya FM Platinum Friday na T-Bose [4]

Metro FM, TransAfrica Radio na kwenye kipindi cha televisheni cha muziki cha Vuzu, Hit Refresh.[5]

Diskografia hariri

  • Love & Life EP (2019)
  • Golden Power (2019)
  • For The Groovists (2020)
  • Defenders of House (2021)

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Do Not Sleep On This Fresh Talent, Oscar Mbo". Zkhiphani. Iliwekwa mnamo 10 April 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Thango Ntwasa. "How DJ Oscar Mbo is using different avenues to create listenership and open up the industry", Sowetan Live, 8 November 2019. Retrieved on 10 April 2021. 
  3. "Oscar Mbo Releases His Second Studio Album Titled 'For The Groovists'", Sho Magazine, 24 October 2020. Retrieved on 10 April 2021. 
  4. "Platinum Fridays (s2020)". kayatv.co.za. Iliwekwa mnamo 10 April 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)[dead link]
  5. "Oscar Mbo – defying a clubless world". iol.co.za. Iliwekwa mnamo 10 April 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)