Oshakati
Oshakati ni mji mkuu wa Mkoa wa Oshana nchini Namibia. Idadi ya wakazi wake ni takriban 39,700.
Oshakati | |
Mahali pa mji wa Oshakati katika Namibia |
|
Majiranukta: 17°47′0″S 15°42′0″E / 17.78333°S 15.70000°E | |
Nchi | Namibia |
---|---|
Mkoa | Oshana |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 39,700 |
Tazama pia
hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oshakati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |