Oshri Cohen
Oshri Cohen (kwa Kiebrania אושרי כהן, amezaliwa Lod, 11 Januari 1984) ni mwigizaji wa filamu kutoka Israel.
Oshri Cohen | |
---|---|
Oshri Cohen, Leone d'Oro | |
Amezaliwa | 11 Januari 1984 |
Miaka ya kazi | mwigizaji wa filamu kutoka Israel |
Alianza kama mwigizaji wa michezo ya watoto na amehusika katika michezo (La Vie devant soi, …), sinema (Lebanon,…) na mfululizo wa televisheni (Homeland…) [1].
Marejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oshri Cohen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |