Osita Iheme

Muigazaji kutoka nchini Nigeria

Osita Iheme (alizaliwa 20 Februari 1982) [1] ni mwigizaji, mwandishi, mtayarishaji wa filamu na mcheshi wa Nigeria anayejulikana kwa jukumu lake kama Pawpaw katika Aki na Ukwa (2002) pamoja na Chinedu Ikedieze.

Marejeo

hariri
  1. Jimmy (2024-03-23). "Osita Iheme Net Worth, Cars, House & Latest Biography » Carmart Blog". Carmart Blog (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-05-01.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Osita Iheme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.