Ovid
Publius Ovidius Naso (* 20 Machi 43 KK - † mnamo 17 BK) anayejulikana kwa jina fupi la Ovid alikuwa mshairi wa Roma ya Kale. Alizaliwa Italia alipoishi hadi Kaisari Augusto aliamua kumwondoa katika Italia akapewa amri kuishi katika jimbo la Dacia (Romania ya leo).
Pamoja na Virgili na Horatius atazamiwa kama mmojawapo wa washairi wakuu wa Roma ya Kale. Mengi alichoandika yalihusu mapenzi.
Kazi za Ovid (tarehe za kutolewa)
hariri- Amores ("mapenzi"), vitabu vitano, mnamo 10 KK
- Metamorphoses, ("Mabadiliko"), vitabu 15, mnamo 8 BK.
- Medicamina Faciei Feminae ("Sanaa ya Urembo"), mistari 100 imehifadhiwa, mnamo 5 KK.
- Remedia Amoris ("Dawa la mapenzi"), kitabu 1, mnamo 5 KK.
- Heroides ("Nyaraka za washujaa wa kike wa kale"), barua 21; barua 1-5 mnamo 5 KK; barua 16–21 mnamo 4 - 8 BK.
- Ars Amatoria ("Sanaa ya mapenzi"), vitabu 3, mnamo 2 KK.
- Fasti ("Sikukuu"), vitabu 6 kuhusu miezi 6 ya kwanza ya mwaka vyenye habari nyini juu ya kalenda ya Kiroma; vilikamilishwa mnamo 8 BK na kutolewa mnamo 15 BK.
- Ibis ("Utakwenda"), shiri, mnamo 9 BK.
- Tristia ("huzuni"), vitabu 5, mnamo 10 BK.
- Epistulae ex Ponto ("Nyara kutoka Bahari Mweusi"), vitabu 4, mnamo 10 BK.
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Matoleo ya Kilatini na Kiingereza
- Perseus/Tufts: P. Ovidius Naso Amores, Ars Amatoria, Heroides (on this site called Epistulae), Metamorphoses, Remedia Amoris. Enhanced brower. Not downloadable.
- Sacred Texts Archive: Ovid Archived 22 Oktoba 2012 at the Wayback Machine. Amores, Ars Amatoria, Medicamina Faciei Femineae, Metamorphoses, Remedia Amoris.
- The Metamorphoses of Publius Ovidius Naso Archived 22 Julai 2007 at the Wayback Machine.; elucidated by an analysis and explanation of the fables, together with English notes, historical, mythological and critical, and illustrated by pictorial embellishments: with a dictionary, giving the meaning of all the words with critical exactness. By Nathan Covington Brooks. Publisher: New York, A. S. Barnes & co.; Cincinnati, H. W. Derby & co., 1857 (a searchable facsimile at the University of Georgia Libraries; DjVu & layered PDF Archived 5 Machi 2006 at the Wayback Machine. format)
- Kilatini pekee
- Latin Library: Ovid Amores, Ars Amatoria, Epistulae ex Ponto, Fasti, Heroides, Ibis, Metamorphoses, Remedia Amoris, Tristia.
- Gutenberg Project: Fasti Archived 9 Oktoba 2004 at the Wayback Machine. With introduction and extensive notes in English by Thomas Keightley. Plain text version.
- Works by Ovid
- Kiingereza tu
- New translations by A. S. Kline Amores, Ars Amatoria, Epistulae ex Ponto, Fasti, Heroides, Ibis, Medicamina Faciei Femineae, Metamorphoses, Remedia Amoris, Tristia with enhanced browsing facility, downloadable in HTML, PDF, or MS Word DOC formats. Site also includes wide selection of works by other authors.
- Two translations from Ovid's Amores by Jon Corelis. Archived 2012-12-08 at Archive.today
- English translations of Ovid's Amores with introductory essay and notes by Jon Corelis Archived 1 Desemba 2009 at the Wayback Machine.
- Some English translations of Ovid by famous literary figures
- Commentary