Ozak Esu

Mhandisi wa umeme wa Nigeria

Ozak-Obazi Oluwaseyi Esu (alizaliwa 23 Aprili 1991) ni mhandisi wa umeme nchini Nigeria na kiongozi wa kiufundi katika Kituo cha BRE cha Nyumba na Majengo Smart (CSHB).[1] Awali alifanya kazi katika kampuni ya Cundall na kushughulika na umeme wa kwenye majengo katika mji wa Birmingham.

Ozak Obazi Oluwaseyi Esu
Amezaliwa 23 Aprili 1991
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mhandisi wa umeme

Marejeo hariri

  1. Fuller, Georgina. "Why the energy industry needs more women in power", The Guardian, 2019-06-25. (en-GB) 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ozak Esu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.