Paballo Koza

Mwigizaji wa Afrika kusini

Paballo Koza (alizaliwa nchini Afrika Kusini, 19 Machi 2002) ni nwigizaji na YouTuber. Alianza kuigiza akiwa na umri wa Miaka 5 na Baadaye alitunukiwa Tuzo ya Africa Movie Academy Awards katika kipengele cha Mwigizaji Mdogo kwenye movie ya Dora's Peace

KaziEdit

Koza alianza kuigiza akiwa na miaka mitano kwa kufanya biashara Tangu wakati huo, amekuwa kwenye matangazo mengine kadhaa na ameigiza katika vipindi vya runinga na sinema .[1] . Mnamo mwaka 2018 aliweka video yake ya kwanza katika mtandao wa youtube . [2]

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paballo Koza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.