Paka (maana)

(Elekezwa kutoka Paka(Maana))

Paka ni neno la Kiswahili ambalo linaweza kumaanisha:

  • Paka (kitenzi) – ni tendo la kukandika rangi kwenye kuta au mafuta katika mwili.
  • Paka (jina) – ni aina ya mnyama ambaye anafugwa na binadamu na hupenda kukimbiza panya.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.