Palahala
Palahala (Hippotragus niger)
Palahala
(Hippotragus niger)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae
Harris, 1838
Nusufamilia: Hippotraginae (Wanyama wanaofanana na swala)
Harris, 1838
Jenasi: Hippotragus
Spishi: H. niger

Palahala (Hippotragus niger) ni swala mkubwa anayeishi savanna yenye miti katika Mashariki na Kusini mwa Afrika, kutoka kusini mwa Kenya hadi Afrika Kusini, pamoja na watu waliojitenga nchini Angola.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Palahala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.