Palanga ni mji na pumzikio nchini Lituanya kwenye mwambao wa Bahari Baltiki. Kuna wakazi 17,600 (mwaka 2008).

Jumba la Tiškevičiai, Makumbusho ya kaharabu

Jiografia hariri

Eneo lake ni 79 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu "Palanga" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Palanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.