Palemoni

(Elekezwa kutoka Palemon)

Palemon (alifariki Tabenisi, 325) alikuwa kati ya Wakristo wakaapweke wa kwanza, aliyeishi katika jangwa la Misri ya juu alipokimbilia wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.

Rafiki au mwalimu wa Pakomi, alisaidia kuunganisha wamonaki waishi kwa pamoja.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Januari[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.