Pam Stenzel (alizaliwa 1965)[1] ni mzungumzaji kutoka Marekani anayejulikana kwa kutoa mihadhara kwa vijana kuhusu elimu ya kujizuia kufanya ngono kabla ya ndoa. Ameelezewa kama "mmoja wa wahadhiri mashuhuri wa kujizuia kufanya ngono nchini Marekani,"[2] na huzungumza na zaidi ya nusu milioni ya vijana kila mwaka duniani kote.[3]

Marejeo

hariri
  1. "Stenzel, Pam, 1965-". Classify. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Goldberg, Michelle (19 Aprili 2013). "Pam Stenzel, America's Abstinence Prophet". The Daily Beast. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Matthews, Resa (28 Juni 2013). "Despite Backlash, W.Va. Teen Stands By Calling Pro-Abstinence Speaker 'Slut Shamer'". ABC News. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pam Stenzel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.