Pango la Waogeleaji

Pango la Waogeleaji ni pango lililo na sanaa zakale za miamba ilioko katika milima ya Gilf Kebir katika uwanda Jangwa la Libya sehemu ya Sahara.  Inapatikana katika utawala wa New Valley kusini-magharibi mwa Misri, karibu na mpaka wa Libya.

hariri

Marejeo

hariri

Waogeleaji Wa WadiSura

hariri
 
mahali [1]
 
Waogeleaji Wa WadiSura