Papa Anastasio II
(Elekezwa kutoka Papa Anastasius II)
Papa Anastasio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Novemba 496 hadi kifo chake tarehe 19 Novemba 498[1]. Alitokea Roma, Italia.
Alimfuata Papa Gelasio I akafuatwa na Papa Symmachus.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |